sw_tn/lev/17/14.md

535 B

uhai wa kila kiumbe umo katika damu yake

Hii humaanisha kwamba damu ndiyo ikiwezeshayo kiumbe kuishi. Maana kamili ya kauli hii yaweza kufanywa wazi. "kila kiumbe chaweza kuishi kwa sababu ya damu yake"

Yeyote ailaye ni lazima akatiliwe

Mtu aliyeondolewa kwa jamii yake anazungumziwa kana kwamba amekwisha kukatwa kutoka kwa watu wake, kama vile mtu angeweza kipande cha nguo au tawi la mti kutoka kwenye mti. : "yeyote alaye damu hataweza kuishi tena miongoni mwa watu wake" au "yeyote alaye damu sharti mmtenge na watu wake"