ambaye damu yake ililetwa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambaye damu yake Aroni aliileta"
lazima wapelekwe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa mtu fulani ambebe"
ngozi zao
"ngozi zao" "zao" hapa humaanibsha fahali na mbuzi