sw_tn/lev/16/14.md

482 B

damu ya fahali

Tazama maelezo ya sura 16:11

kuinyunyiza kwa kidole chake

Alitumia kidole chake kurushia damu

upande wa mbele wa kifuniko cha upatanisho

Aliiweka hiyo damu upande wa juu wa kifuniko. pia aliiweka upande wa pembeni mwa kifuniko uliomwelekea alipoingia eneo la patakatifu pa patakatifu

mbele za kifuniko cha upatanisho

Maana zinazo wezekani ni 1) "chini ya kifuniko cha upatanisho kenye sanduku" au 2) ardhini chini ya mbele ya kifuniko cha upatanisho."