sw_tn/lev/16/08.md

334 B

Mbuzi wa azazeli

"yule mbuzi anayepelekwa mbali." iAroni alitakiwa kuwa na mtu wa kumwacha huru huyo mbuzi aende nyikani.

kura imemwangukia

"yule ambaye kura imeteuliwa"

Lakini mbuzi...lazima aletwe mbele za Yahweh

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Aroni atamleta huyo mbuuzi...mbele za Yahweh akiwa hai.