sw_tn/lev/15/10.md

773 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kiwapasacho watu kutenda ili kuzuia maabukuizi.

mtu huyo

Hii humrejelea mtu aliye maambukizi ya ugiligili.

atakuwa najisi

Tanzama maelezo ya sura 13:20

hata jioni

"mpaka macheo"

Yeyote yule aliye na mtiririko kama huo anamgusa

Yeyote aguswaye na mtu mwenye mtiririko"

Chungu chochote cha udongo anachokigusa mwenye kutiririkwa na ugiligili kama huo yapasa kivunjwe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Mtu yeyote anaweza kuweza kukuvunja chungu chochote cha udongo ambacho amekigusa mtu mwenye mtirirko kama huo"

kila chombo cha mti lazima kisafishwe kwenye maji

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ni lazima mtu asuuze kwenye maji kila chombo cha mbao"