sw_tn/lev/13/53.md

652 B

basi atawaamru

"kisha kuhani atamwamru mmiliki" Hapa kuhani anawaambia watu namna ya kuvitendea vyombo vya nymbani ambavyo yamkini vilikuwa vimembukizwa.

hicho kifaa kilichopatikana na ukungu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ambamo wamegundua mna ukungu"

baada ya kuwa kimesafishwa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "baada ya kukiosha kifaa"

kifaa hicho ni najisi

Kitu ambacho Mungu amekitangaza kuwa hakifai kwa watu kukigusa kimezungumziwa kana kwamba kilikuwa kichafu kimaumbile.

Yapasa ukichome kifaa hicho

"ukichome" hapa haimaanishi kuhani hasa. Inamaanisha tu mtu impasaye kukichoma kifaa.