sw_tn/lev/13/45.md

348 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.

nje ya kambi

Kambi ni eneo ambao Waisraeli wengi wailiishi. Mtu najisi alikuwa haruhusiwi kuishi miongoni mwao kwa sababu ugonjwa wake unaweza kuenea kwa wengine.

Najisi, najisi

Tazama aelezo ya sura 13:20