sw_tn/lev/13/32.md

364 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.

basi, yapasa mtu huyo kunyolewa., lakini sehemu yenye ugonjwa haitanyolewa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu huyo atalazimika kunyoa nywele zilizokaribu na jipu lakini siyo zile nywele zilizojuu ya jipu"