sw_tn/lev/13/18.md

443 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.

Jipu

Eneo juu ya ngozi iliyoambukizwa lenye maumivu makali.

yapasa kuonyeshwa kwa kuhani.

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa alionyeshe kwa kuhani"

kuhani atamtangaza kuwa najisi

Mtu ambaye watu wengine haiwapasi kumgusa amezungumzwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.