sw_tn/lev/13/12.md

371 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni yawapasayo watu kufanya mtu anapokuwa na ugonjwa wa ngozi.

kuhani atamtangaza mtu huyo...safi...naye atakuwa safi

Mtu ambaye watu wengine wanaweza kumgusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa safi kimaumbile na mtu ambaye watu wengine haiwapasi kumgusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.