sw_tn/lev/12/07.md

508 B

naye atatakaswa kutokana kutiririka kwa damu yake

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "na hili litamtakasa kutoka katika kutokwa na damu kwake kunaoendelea wakati wa kuzaliwa kwa mtoto.

kama hana uwezo wa kutoa mwana-kondoo

Fasiri sentensi hii ili kuweka wazi kutokuweza kwa mwanamke kununua dhabihu ya mnyama. : "Iwapo hana fedha ya kutosha kukunulia mwana-kondoo"

naye atakuwa safi

Mwanamke ambaye watu wengine wangeweza kumgusa anazungumziwa kana kwamba alikuwa safi kimaumbile.