475 B
475 B
Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula.
Pimbi
Mnyama mdogo aishiye maeneo ya miamba.
najisi kwenu
wanyama hawa ambao Mungu amewatamka hawafai kwa watu kuwala wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile.
Sungura
Mnyama mdogo mwenye manyoya marefu ambaye kwa kwaida huishi kwenye mashimo chini ardhini.
wala msiiguse mizoga yao
"wala msiguse miili yao iliyokufa"