sw_tn/lev/09/18.md

241 B

Akamchinja

"Aroni alichinja"

wana wa Aronni wakampa damu

Inamaanisha kwamba damu ilikuwa kwenye bakuli. Maana kamili yaweza kufanywa wazi.

Sehemu za ndani

Tazama maelezo ya sura ya 1:7

figo...ini

Tazama maelezo ya sura ya 3:3