sw_tn/lev/09/03.md

471 B

Maelzo jumla:

Musa anaendelea kumwambia Aroni'

Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie, 'Twaeni beberu...atajidhihirisha kwenu

Musa anaendelea kumwambia Aroni. Sentensi hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa iliyotwa. : "na waambie watu Israeli watwae beberu...atajidhihirisha kwa watu wote"

wa umri wa mwaka moja

"mwenye umri wa miezi kumi na miwili"

ilikuwatoa mbele za Yahweh

"kutoa kwa Yahweh"