sw_tn/lev/08/31.md

542 B

kikapu cha kuwekwa wakfu

Hii humaanisha kikapu kilicho na matoleo yatumikayo wakati wa kuwaweka wakfu Aroni na wanawe. : "kile kikapu"

kama nilivyoamru, kusema, 'Aroni na wanawe wataila

Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. " kama nilivyokuagiza kufanya"

hata zitakapotimia siku za kuwekwa mikono kwenu

Hii yaweza kufasiriwa katiika mtindo wa utendaji. : "mpaka mkamilishe siku zenu za kuwekewa mikono.

kuwekwa mikono

Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 8:28