sw_tn/lev/08/22.md

391 B

kondoo wa kuwekwa wakfu

Neno "kuweka wakfu" ni nomino dhahania. : "kondoo kwa ajili ya kuwatenga Aroni na wanawe kwa ajili ya huduma ya Mungu"

wakaweka mikono yao juu ya kichwa

Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 1:3

naye akaweka sehemu ya damu ya kondoo

Inaonesha kwamba Musa aliikinga damu kwenye bakuli wakati ilipochuruzika kutoka kwa mnyama. Maana yake yaweza kuwekwa wazi