sw_tn/lev/08/10.md

276 B

vyombo vyake vyote

Hivi vyote ni vyungu, masufuria, makoleo, na nyuma vilivyotukaka kwenye madhabahu.

sinia la kunawia

Hili ni besenni la shaba liliowekwa kati ya madhabahu na hema.

kitako chake

Hiki ni kinara cha shaba ambacho juu yake sinia la kunawia liliwekwa.