sw_tn/lev/08/08.md

657 B

akaweka kifuko kifuani mwa Aroni

"Musa aliweka kifuko juu ys |Aroni"

kifuko kifuani..kiremba...bamba la dhahabu... taji takatifu

Haya yote ni mavazi maalum ambayo Yahweh aliwaamru watu kutengeneza kwa ajili ya makuhani.

Urimu na Thumimu

Hivi havikujulikana wazi vilikuwa ni vitu gani. Vilikuwa vitu ambavyo kwa kuhani alivitumia kwa namna fulani kupambanua mapenzi ya Mungu.

kiremba

kifuniko cha kicho cha mtu ambapo kilikuwa ni kitambaa cha nguo kirefu kilichofungwa kukizunguka kichwa

bamba la dhahabu; liwe taji takatifu

Virai hivi viwili hurejelea kitu kile kilekile. Lilikuwa ni mamba la dhahabu tupu lililoambatanishwa na kiremba.