sw_tn/lev/08/01.md

222 B

Taarifa kwa ujumla

Katia sura ya 8 Musa anawaweka wakfu Aroni na wanawe wawe makuhani kulingana na aagizo ya Yahweh ambayo aliyaamru katika kitabu cha Kutoka

mavazi

"Mavazi ya kikuhani" au "nguo walizavaa makuhani"