sw_tn/lev/07/25.md

309 B

dhabihu iliyofanywa...kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sadaka ya kutekeza"

mtu huyo lazima atakatiliwa mbali kutoka kwa watu wake

Tazama katika sura ya 7:19

Hamtakula damu

"Hamtatumia damu"

katika mojawapo ya nyumba zenu

"katika masikani yenu" au "popote mwishipo"