sw_tn/lev/07/21.md

539 B

kitu chochote kilichonajisi

Kitu fulani ambacho Yahweh amekitaja kuwa hakifai kugusa au kula kinazungumziwa kana kwamba kilikuwa si safi kimaumbile.

iwe ni unajisi wa binadamu, au wa mnyama aliyenajisi,

"Mtu" hapa mumaanisha wanadamu kwa ujumla. : "ikiwa wa mtu au wa mnyama

au wa kitu fulani kilichonajisi na chenye kuchukiza

au wa unajisi fulani wa kitu ambacho humchukiza Yahweh

lazima mtu huyo akatiliwe mbali kutoka kwa watu wake.

Tazama maelezo katia sura ya 7:19. Hii pia yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji.