sw_tn/lev/06/19.md

421 B

ambayo kila mwana atapakwa mafuta

hii inamaanisha kwamba watapakwa mafuta watakapokuwa makuhani. Maana ya kamili ya kauli yaweza kuwekwa wazi. Hii pia yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Anapompaka mafuta kila mwana, akiwaweka wakfu kuwa makuhani"

sehemu ya kumi ya efa

Efa moja ni sawasawa na lita 22. moja ya kumi ya efa ni kama lita 2 hivi.

sehemu ya kumi

Hii ni sehemu ya kumi sehemu zilizosawa.