503 B
503 B
kuvunja amri dhidi ya Yahweh
"aasiye mojawapo ya amri za Mungu"
kujishughulisha na uongo dhidi ya jirani yake kuhusu kitu fulani kilichowekwa amana kwake
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "akidanganya kwa jirani yake kuhusu kitu fulani alichomwazimisha yeye
jirani yake
"Jirani yake" humaanisha Mwisraeli yeyote, siyo yeyote aishiye karibu naye.
alichokichukua kwa dhuluma kutoka kwake
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "bila kurudisha kitu fulani alichokiazima"