319 B
319 B
Yahweh amemwamru yeye yasitendwe
Watu wote wa Israeli waliamriwa wasitende dhambi. Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh aliwaamru watu wasiyatende"
dhambi yake aliyoitenda itakuwa imejulikana kwake
Hili laweza kutmkwa katika mtindo tendaji. : "naye amekuwa na ufahamu juu ya dhambi aliyoitenda.