Yahweh Mungu wake ameamru yasitendwe
hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Mungu amewaamru watu wasitenda"
Nayo dhambi yake aliyoitenda imefahamisha kwake
hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. ; "kisha naye ameshatambua kwamba katenda dhambi"