sw_tn/lev/04/16.md

284 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Munsa yawapasayo watu kutenda.

Kuhani aliyepakwa mafuta ataleta damu

Inamaanisha kwamba huyo kuhani aliikinga damu kwenye bakuli ilipotiririka

mbele ya pazia.

Inamaanisha kwamba hili ni pazia mbele ya patakatifu pa patakatifu