sw_tn/lev/02/06.md

590 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake

utaigawanya

Hapa "inayogawanywa" ni sadaka ya nafaka iliyopikwa kwenye kikaaongo cha chuma.

Iwapo sadaka yako ya nafaka imepikwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Ikiwa unaipika sadaka yako ya nafaka"

katika sufuria

Sufuria ilikuwa sahani yenye kingo zikiizunguka. Bonde la unga lilidumbuzwa ndani ya sufuria na kupikwa juu ya moto.

lazima iwe imeandaliwa

Yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Ni lazima uiandae"