sw_tn/lev/02/01.md

822 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumbia Musa liwapasalo watu kutenda.

liwe unga safi

"Iiwe unga safi kabisa" au "uwe unga uliobora"

unga

ngano ilinyosagwa

Itampasa kuipeleka

itampasa kuuchukua

atatwaa konzi

"atachukua unga anaoweza kuubeba mkononi mwake

sadaka ya kuwakilisha

konzi ya sadaka ya nafaka huwakilisha sadakanzima ya nafaka. Hii inamaanisha kwamba sadaka nzima ni ya Mungu.

Nayo itatoa harufu nzuri ya kupendeza kwa Yahweh.

Yahweh akiwa amependezwa na utoaji dhabihu wa dhati wa aabuduye unazungumziwa kana kwamba Yahweh alikuwa amependezwa na harufu nzuri ya dhabihu. Tazama lilivyotafsiriwa katika 1:7

Ni kitakatifu sana kwa Yahweh kutoka kwenye sadaka iliyofanywe kwa Yahweh kwa moto.

Hili laweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "itakuwa sadaka ya kuteketezwa Kwake"