sw_tn/lev/01/16.md

681 B

Ni lazima akiondoe

"Ni lazima kuhani"

kibofu chake pamoja na uchafu wake

Kibofu ni kwenye koromeo la ndege mahali ambapo chakula ambacho hakijameng'enywa hutunzwa.

nacho atakitupa...kando ya madhabahu

Neno "nacho" hapa humaanisha kibofu pamoja na uchafu wake

italeta harufu ya kupendeza kwa Yahweh

Yahweh akiwa amependezwa na utoaji dhabihu wa dhati wa aabuduye unazungumziwa kana kwamba Yahweh alikuwa amependezwa na harufu nzuri ya dhabihu. Tazama lilivyotafsiriwa hili katika 1:7

nayo itakuwa sadaka iliyofanywa Kwake kwa moto.

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "itakuwa sadaka ya kuteketezwa kwangu" au "itakuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Yahweh"