sw_tn/jon/03/06.md

846 B

habari

"ujumbe wa Yona"

Akasimama kutoka kiti chake cha enzi

Aliinuka kutoka kiti chake cha enzi' au 'Alisimama kutoka kiti chake cha enzi.' Mfalme alitoka kiti chake cha enzi kuonyesha kwamba alikuwa akifanya kwa unyenyekevu.

kiti cha enzi

Kiti cha enzi ni kiti ambacho mfalme anakaa. Inaonyesha kwamba yeye ni mfalme.

Alitoa tangazo ambalo lisemalo

"Alitoa tamko rasmi ambalo alisema" au "aliwatuma wajumbe wake kutangaza kwa watu wa Ninawi"

wakuu

"washauri" (UDB). Hawa walikuwa watu muhimu ambao walimsaidia mfalme kutawala mji.

ng'ombe wala kundi

Hii inahusu aina mbili za wanyama ambazo watu hutunza. AT "ng'ombe au kondoo"

Wao wasile wala kunywe maji.

"Hawapaswi kula wala kunywa chochote." Sababu ambayo hawakula au kunywa chochote inaweza kuwa wazi kwa kuongeza "ili kuonyesha kuwa ni msamaha kwa dhambi zao."