341 B
341 B
nje ya mahali ulipowauza
Watu wa Israeli watatoka mahali ambapo walikuwa watumwa na kurudi katika nchi ya Israeli.
kurudisha malipo
AT "kurudi kile unachostahiki"
kwa mkono wa watu wa Yuda
AT "kwa uwezo wa watu wa Yuda' au 'na watu wa Yuda"
Sheba
watu wa Sabea, ambayo pia huitwa Sheba. Watu hawa waliishi kusini mwa Israeli.