sw_tn/jol/03/04.md

647 B

Taarifa za jumla

Mungu anaongea na watu wa mataifa yaliyozunguka Israeli.

kwa nini unanikasilikia

Mungu hutumia swali hili kuwashawishi watu wa Tiro, Sidoni na Ufalme. AT "Huna haki ya kunikasikia"

Je! mutanirudishia malipo?

'Je, utajipiza kisasi?' Mungu anatumia swali hili kuwafanya watu kufikiri juu ya kile wanachokifanya. AT 'Unafikiri unaweza kulipiza kisasi juu yangu'

mara moja nitawarudishia malipo yenu juu ya vichwa vyenu wenyewe

Hapa neno "kichwa' linamaanisha mtu. Kisasi ambacho walitaka kuelekea Bwana, atawafanyia. AT "Nitawafanya uhukumiwe kwamba ulijaribu kuniweka"

nitawarudishia

kulipiza kisasi" au "kulipa"