sw_tn/jol/03/01.md

878 B

Taarifa za jumla

Mungu anaendelea kusema juu ya matukio ya baadaye.

Tazama

Neno "Tazama" hapa linaongeza mkazo kwa ifuatavyo.

katika siku hizo na wakati huo

Maneno 'wakati huo' yanamaanisha kitu kimoja kama, na inaongeza maneno 'katika siku hizo.' AT 'katika siku hizo' au 'wakati huo.'

nitakaporudi mateka wa Yuda na Yerusalemu

AT "Wakati mimi kutuma wahamisho nyuma kwa Yuda na Yerusalemu"

watu wangu na warithi wangu Israeli

Maneno haya mawili yanasisitiza jinsi Bwana anavyoona Israeli kama watu wake wa thamani. AT "watu wa Israeli, ambao ni urithi wangu."

walinunua kijana kwa ajili ya kahaba, kuuza msichana kwa divai ili waweze kunywa.

Hizi ni mifano ya aina ya mambo waliyofanya na haonyeshi kile walichofanya kwa watoto wawili. AT "na kufanya vitu kama biashara ya kijana kwa ajili ya kahaba na kuuza msichana kwa divai, hivyo wangeweza kunywa"