sw_tn/jol/02/32.md

293 B

juu ya Mlima Sayuni na Yerusalemu

Hizi hutaja mahali sawa. AT 'juu ya Mlima Sayuni huko Yerusalemu.'

kati ya wale waliokoka, wale ambao Bwana anawaita.

AT "wale ambao Yehova anawaita watakuwa waathirika"

waliosalia

watu wanaoishi kuto kupatwa na tukio la kutisha kama vita au maafa