sw_tn/jol/02/30.md

427 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kusema mambo ambayo atafanya wakati ujao.

damu, moto na nguzo za moshi

"damu" inaashiria kifo cha watu. AT "kifo, moto na nguzo za moshi"

na mwezi kuwa damu

Hapa neno 'damu' linamaanisha rangi nyekundu. Unaweza kutoa kitenzi cha maneno haya. AT 'na mwezi utakuwa nyekundu kama damu'

kubwa na ya kutisha

Hapa neno "kubwa" linabadili neno "la kutisha." AT "siku ya kutisha sana."