sw_tn/jol/02/21.md

252 B

Msiogope, nchi

"Msiogope, enyi watu wa nchi,"

ya jangwa yatakua

mimea mzuri kwa ajili ya chakula itaongezeka juu ya nchi

mvua ya vuli na mvua ya masika

mvua za kwanza za msimu wa mvua, mapema Desemba na mvua za mwisho mwezi wa Aprili na Mei