307 B
307 B
Taarifa za jumla
Maelezo ya Yoeli ya jeshi linalokuja yanaendelea.
nchi ni kama bustani ya Edeni
Bustani ya Edeni ilikuwa mahali pazuri.
Nchi hiyo ni kama bustani ya Edeni mbele yake, lakini nyuma yake kuna jangwa lililoharibika
Hii inaonyesha tofauti na kuonyesha uharibifu wa moto unaozalisha.