sw_tn/jer/51/13.md

241 B

Kuishi katika vijito vingi vya maji

"wanafuraha na utajiri"

Uzi ... mfupi

"maisha yako yatakwisha haraka."

kama pigo la nzige

"kwa idadi kubwa ya askari"

kilio cha vita

Hizi ni kelele ambazo askari huzifanya anapokuwa vitani.