sw_tn/jer/50/14.md

274 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anawaambia maadui wa Babeli namna ya kuvamia.

Kila anayepindisha upinde

Hawa ni askari wanaopindisha upinde na mishale ili kupigana.

mpigeni

Hapa anazungumziwa Babeli.

Kuta zake zimeangushwa chini

"Mataifa yameangusha chini kuta zake"