sw_tn/jer/49/07.md

294 B

Ana ushauri mzuri ... uelewa? Je hekima yao iliharibiwa?

Wazo moja linaelezewa katika njia mbili tofauti.

Je ushauri mzuri umepotea kwa wale wenye uelewa?

"Inaonesha kuwa hakuna tena watu wenye hekima Temana katika Edomu!"

Je hekima yao iliharibiwa?

"Ushauri wao hauna hekima tena."