sw_tn/jer/49/03.md

229 B

Piga kelele

Lia kwa nguvu

Binti za Raba

Wanawake katika mji wa Raba

Kwa nini unajisifu kwa nguvu zako?

"Hutakiwi kujisifu kwa sababu hauna nguvu."

Nani atakuja dhidi yangu?

"Mnafikiri kuwa hakuna atakayewashinda."