sw_tn/jer/44/29.md

293 B

Maneno yangu yatakuvamia kwa maafa

"ninayosema yatakupana na utapata maafa"

Nitamtia mfalme Farao Hofra mfalme wa Misri katika mikono ya adui zake

"nitawaruhusu maadui wa Farao Hofra wakukamate"

Hofra

Hili ni jina la mtu.

na wanaoyatafuta maisha yake

"na watu wanaotaka kumuua"