sw_tn/jer/43/04.md

261 B

kukataa kusikiliza sauti ya Bwana

"hawakutii amri za Bwana"

ambapo walikuwa wametawanyika

"ambapo Bwana alisababisha wakaenda na kutawanyika"

Nebuzaradani ... Gedalia ... Ahikamu ... Shafani

Haya ni majina ya watu.

Tahpanesi

Hili ni jina la mji.