sw_tn/jer/43/01.md

237 B

Taarifa ya jumla:

Tazama: uandishi wa shairi.

Ikatokea kuwa

Hii ilitumika kuonesha mwanzo wa simulizi mpya.

Hoshaya ... Yohana ... Karea ... Neria

Haya ni majina ya watu.

kuchochea

"kumsababisha mtu awadhuru watu wengine"