sw_tn/jer/41/06.md

347 B

alipokuwa akiwakaribia

"Ishmaeli alipokuwa akiwakaribia watu 80"

Ikatokea kuwa

Maneno haya yametumika kuonesha umuhimu wa tukio katika simulizi.

Ishmaili mwana wa Nethania akawachinja na kuwatupa katika shimo, yeye pamoja na watu aliokuwa nao

"Ishmaeli mwana wa Nethania na watu aliokuwa nao, waliwaua watu 80 na kuwatupa katika shimo"