sw_tn/jer/34/01.md

654 B

Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Yahwe.

"Yahwe alisema neno lake kwa Yeremia."

Wanapigana vita.

"Walikuwa wakipigana."

Na miji yake yote.

Miji inayotajwa hapa ni miji yote jirani na Yerusalemu.

Kuutia mji huu mkono mwa ...

Angalia ufafanuzi kutaka sura ya 32:26.

Mkononi mwa mfalme wa Babel.

Hapa neno "mkono" lina maana ya umiliki. Katika mamlaka ya mfalme wa Babeli."

Hautapona kutoka mkono wake.

"Hautaweza kutoka kwenye mamlaka yake."

Macho yako yatayaangalia macho ya mfalme wa Babeli;atazunguza kwako moja kwa amoja ukiwa aunaenda Babeli.

Maneno haya yote yana maana moja, kwamba atamuona mfalme wa Babeli ana kwa ana.