sw_tn/jer/32/33.md

547 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kusema kwa Yeremia.

Wamenigeuzia migongo yao badala ya nyuso zao.

"Watu wangu wamenipuuza.

Kupokea marekebisho.

"Hakuna hata mmoja aliyekuwa tayari kujifunza kutoka kwangu."

Watafanya mambo maovu

"Sanamu zao ambazo nazichukia."

Nyumba inayoitwa kwa jina langu.

"Nyumba ambayo ni yangu kabisa."

Bonde la Ben Hinomu.

Angalia

Sikuweka akilini mwangu.

Hapa neno "akilini" linamaanisha mawazo ya Yahwe. Ni kitu ambacho hakuwa kukifiria kuwa watu wake watakifanya, lakini sasa wanakifanya.