sw_tn/jer/32/13.md

460 B

Maelezo ya jumla:

Yeremia anaendelea kuzungumza.

Mbele yao.

Hapa "yao" anatajwa Hanameli, shahidi, na Wayudea.

Chukua nyaraka hizi, vyote hati hii ya manunuziiliyopigwa muhuri na nakala zisizopigwa muhuri.

"Chukua nyaraka ziliyopingwa muhuri na zile ambazo hazijapigwa muhuri."

Nyumba, mashamba, na mashamba ya mizabibu vitanunuliwa tena katika nchi hii.

"Watu wa Israeli watanunua tena nyumba, bustani za mizabibu na mashamba katika nchi hii."