sw_tn/jer/32/03.md

586 B

Kwa nini unatabiri na kusema.

Zakaria anatumia swali kumkemea Yeremia. ("Ni vibaya wewe kuendelea kutabiri na kusema.")

Katika mikono ya mfalme wa Babeli na atauteka

Hapa, "mikono" inamaana ya nguvu au umiliki.

Kwa maana hakika atatiwa.

"Kwa kweli nimeutia mji huu katika mikono ya mfalme wa Babeli.

Mdomo wake utazunguzia kwenye mdomo wa mfalme, na macho yake yatayaona mac ho ya mfalme.

"Sedekia mqenyewe atamuona Nebukadreza ana kwa ana na atazungumza naye."

Hili ni tangazo la Yahwe.

Angalia sura ya 1:7

Unapigana.

Hapa wanatajwa watu wote katika Yerusalemu.