sw_tn/jer/30/12.md

288 B

Maelezo ya jumla:

Yeremia ansema ujumbe wa Mungu kwa Waisraeli.

Jeraha lako si lakupona ... kidondda chako ili upone

Hii ina maana akuwa Yahwe amewaadhibu sana na kwamba hakuna mtu wa Kuwasaidia.

Hakuna mtu wa kukutetea kesi yako.

"Hakuna yeyote anayeniomba niwoneshe huruma."